24/7 Support: +255 756 556 556

info@faithvictorytz.org

24/7 Support: +255 756 556 556

info@faithvictorytz.org

MIZIZI YA MAISHA YAKO IJENGEKE NDANI YA YESU

 • August 10, 2020

WAKOLOSAI 2 :6-7

 

Hivyo basi, kama vile mlivyompokea Kristo Yesu kuwa Bwana, endeleeni kukaa ndani yake, mkiwa na mizizi, na mmjengwa ndani yake, mkiimarishwa katika imani kama mlivyofundishwa, na kufurika kwa wingi wa shukrani.

 

Wazo Kuhusu Neno la Leo

 

“Mpya na Zilizoboreshwa!” Hiyo ndio mbinu inayotumiwa na Wataalamu wa masoko kutangaza bidhaa ya zamani ambazo umaarufu wake umeshuka thamani katika soko. Fanya mabadiliko machache, kisha ingiza upya bidhaa hiyo ya zamani sokoni kama vile ni bidhaa mpya. Paulo anawataka Wakolosai kutambua kuwa Yesu hahitaji kuwa “Mpya na Aliyeboreshwa.” Badala yake, wanahitaji kumfuata Yesu kama Bwana kama walivyofanya awali walipompokea kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao na kufanyika kuwa Wakristo. Hilo ndilo hitaji letu pia. Maisha yetu yanapaswa kuwa na mizizi iliyojengwa na kukuzwa katika Kristo Yesu kama Bwana, tukiwa wenye shukrani kwa Mungu kwa karama na zawadi ya neema yake ya ajabu kupitia Mwanawe.

 

Maombi Yangu

 

Baba yangu mpendwa na Mungu mwenye nguvu zote, asante kwa zawadi ya neema yako niliyopewa kupitia Yesu Kristo, aliye Bwana na Mwokozi wa maisha yangu. Nisamehe pale ninapokutenda dhambi kwa kufuata mkumbo wa kidunia kwa kutamani yaliyo mapya lakini ambayo ni chukizo mbele zako. Tafadhali yafanye maisha yangu na mwenendo wangu na Yesu Kristo uwe safi na thabiti kila siku. Niimarishe kiimani ili kwamba, hata pale ninapopitia changamoto za kidunia, niweze kusimama na kuzishinda. Niwezeshe kutambua fursa mpya kila siku niamkapo asubuhi, ambazo natakiwa kuzichangamkia na kuzing’ang’ania ili nijiimarishe kiuchumi kwa ajili ya utukufu wa Jina lako, na hivyo kuniwezesha kuishi maisha ya furaha, amani, nguvu na matumaini. Na kwa kufanya hivyo, nishiriki vyema katika kuujenga ufalme wako hapa duniani na kutimiza ahadi yako ya kuwafanya mataifa yote kuwa wanafunzi wako. Katika jina la Yesu ninaomba na kuamini. Amina.

 

 

© Pastor Christine Mlingi

COMMENTS

 • yify 12-01-2021

  Every after inside a whilst we pick out blogs that we study. Listed beneath are the most recent web-sites that we choose. Nicolina Ellswerth MacDonell

 • erotik 13-01-2021

  Hello. This article was extremely remarkable, especially because I was looking for thoughts on this subject last Thursday. Nolana Maxwell Kostman

 • full hd izle 13-01-2021

  Hello. This post was extremely fascinating, particularly because I was browsing for thoughts on this subject last week. Rochella Gil Sharline

 • full hd izle 14-01-2021

  Looking forward to reading more. Great article post. Really looking forward to read more. Much obliged. Liza Lester Meredithe

 • filmi full izle 17-01-2021

  There is certainly a great deal to know about this topic. Cori Petey Karylin

 • full hd tek parça izle 17-01-2021

  I really enjoy the article. Really thank you! Really Cool. Sarette Mackenzie Weed

 • filmi izle 18-01-2021

  There is certainly a great deal to learn about this issue. I really like all the points you have made. Aurie Sargent Heidie

 • full hd izle 18-01-2021

  Thank you for sharing your info. I truly appreciate your efforts and I will be waiting for your further post thank you once again. Dione Derk Huskey

 • 720p 29-01-2021

  If your readers see a large, ongoing length of text, they are apt to move on. Shayne Cornell Maude

 • altyazili 30-01-2021

  Having read this I believed it was rather informative. I appreciate you taking the time and energy to put this informative article together. I once again find myself personally spending way too much time both reading and leaving comments. But so what, it was still worth it! Ardenia Banky Starlin

 • filmkovasi 30-01-2021

  I love it when people get together and share views. Great site, continue the good work. Jilleen Rene Friedland

 • 720p 30-01-2021

  Que viaje mas entretenido Anita, me encanto y tu forma de darlo a conocer es fantastica, vamos juntas?? seria muy buena onda!!! Colly Reid Stamata

 • filmkovasi 30-01-2021

  Greetings! Very useful advice within this article! It is the little changes that will make the most important changes. Many thanks for sharing! Neysa Emlen Markland

 • online 31-01-2021

  Great article! We are linking to this particularly great post on our website. Keep up the good writing. Gweneth Emory Eudoca

 • access 31-01-2021

  So interesting to hear how other travelers and bloggers started their blogs. Thanks for sharing your wonderful adventures and I can just see myself on a river cruise, stopping off at various places. Looking forward to reading more of your travels. Danna Shannon Blain

 • erotik 01-03-2021

  I was able to find good information from your articles.| Giacinta Bud Barcot

 • bursa escort 01-03-2021

  Wohh precisely what I was searching for, regards for posting. Dawna Ganny Giff Meredithe Kevon Elyssa

 • erotik 02-03-2021

  Thank you so much for your kind comment and rating. My best advice is to blog out of love for your niche. Blogging is tough and only if you are passionate enough you are going to last. The rest of the story is only hard work and then some more. Hang on! You can do it! Dory Jo Debi

 • norton.com/setup 05-03-2021

  I was able to fund good advice from your blog articles. Jordanna Mathew Dubenko Danyelle Cleveland Charley

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *